
77 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hukujia kila Jumanne saa moja asubuhi; Sanaa, ubunifu na ujuzi wa ufundi vinaendelea kuwa njia muhimu kwa vijana kujiajiri, kujenga biashara na hata kuwafungulia wengine milango ya ajira. Leo tunamwangazia Bruce Jabali mkazi wa Nakuru, kijana wa kizazi cha Gen Z mwenye umri wa miaka 21, ambaye ni mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Jadi Clothing. Amegeuza kipaji chake katika mitindo na ufundi kuwa biashara. Mwanahabari wetu Enaeli Mlinga amezungumza naye. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited