
191 views
Katika makala ya Tashtiti ya Wiki, baada ya "Yesu wa Tongareni" huko Ingoo, Kenya sasa imepata "Maria" huko Kisii. Wengine wanamwona kwa imani kwenye ukuta wa jiko, huku wengine wakiona moshi tu. Je, ni imani au ni sarakasi za Wakenya? Siasani, Wamunyoro na Junet wamekataana katu katu, eti hawawezi kula meza moja. Mwanahabari wetu,Allan Wetungu, anatupambia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited