
89 views
Katika Makala ya Jasho Langu, Riziki Yangu, ambayo hukujia kila siku ya Jumanne saa moja asubuhi, leo tunamwaangazia Nicholas Oketch mkazi wa mji wa Kajiado ambaye amegeuza utengenezaji wa mizinga ya nyuki kuwa chanzo chake cha riziki. Nyuma ya kila mzinga unaowekwa shambani, kuna fundi stadi Oketch. Kupitia ujuzi, ubunifu na kazi ya mikono yake, mbao si mbao tu ni chanzo cha ajira, ni biashara, na ni daraja linalowaunganisha wafugaji na fursa ya kujiongezea kipato kupitia ufugaji wa nyuki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited