
99 views
Katika Makala ya Jasho Langu, Riziki Yangu ambayo hujia kila siku ya Jumanne saa moja asubuhi, leo hii tunamwangazia mfanyabiashara mmoja mjini Busia ambaye ameamua kuvuka mipaka ya huduma za kawaida za kinyozi kwa kuanzisha huduma za kisasa zinazojumuisha unyoaji, ukandaji wa kichwa na mwili, pamoja na huduma nyingine zinazolenga kuwapa wateja utulivu na hali bora ya mwili na akili. Kupitia ubunifu, taaluma na huduma bora kwa wateja, biashara yake imeendelea kukua na kuwavutia wateja kutoka maeneo mbalimbali. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited