
81 views
Katika Kitengo cha Kero Lako leo hii tunaliangazia kero la wahuni. Juzi wahuni wamewavamia wananchi waliokuwa katika mkutano wa kujadili bajeti kwenye Kanisa la All Saints Cathedral. Kisa kingine pia kilitokea katika eneo la Kakamega ambapo wanafunzi waliokuwa wakisafiri kutoka kwenye hafla ya michezo walivamiwa na watu waliodhani eti basi lililowabeba wanafunzi hao lilikuwa likiwasafirisha watu kutoka kwenye mkutano wa kisiasa. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited