
52 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hukujia kila Jumanne saa moja asubuhi, leo hii tunamwangazia mhudumu wa texi kwa jina Charles Mwaura ambaye pia ni mhubiri. Kabla ajitose katika biashara hii, alikuwa mfanyabiashara katika Soko la Gikomba. Hata hivyo alijipata akikadiria hasara kubwa baada ya moto mkubwa kutekeza bidhaa zake kwenye soko hilo na hatimaye kuamua kuiacha biashara hiyo na kugeukia biashara ya texi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited