
39 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hukujia kila siku ya Jumanne Saa moja asubuhi, leo hii tunamuangazia Doris Kananu mkazi wa Kaunti ya Meru ambaye amegeuza biashara ya kupima uzani kuwa njia yake ya kujitafutia riziki. Kila siku katika mitaa ya Meru, Doris huwa na mashine yake ya kupimia uzani akiwahudumia wale wanaotaka kujua afya na uzito wao huku akijipatia kipato cha kujikimu kimaisha. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited