
92 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu, ambayo hujia kila siku ya Jumanne saa moja Asubuhi, tunamwangazia mwanamume kwa jina Mustafa, muuzaji wa mapochopocho ya viazi karai na samosa katika Kaunti ya Kajiado. Mustafa anasema kwamba biashara yake inazidi kukua kila siku, huku wateja wakirejea mara kwa mara huku wakivikumbatia vyakula hivyo vya asili ya kipwani ishara kuwa vyakula vya asili vinaweza kuvuka mipaka ya kijiografia na kuunganisha jamii. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited