
56 views
Katika Makala ya “Jasho Langu, Riziki Yangu”, leo hii tunakupeleka kwenye Kwenye masoko ya Kaunti ya Kakamega ambako kuna mwanamke raia wa Uganda ambaye ameigeuza taabu kuwa fursa, na jasho kuwa chanzo cha heshima yake. Janet Nusra, amekuwa nchini kwa miaka takriban kumi na mitano sasa akijihusisha na biashara ya kuuza viazi vitamu na ndumaa. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited