
69 views
Katika Makala ya “Jasho Langu Riziki Yangu”, ambayo hujia kila Jumanne saa moja asubuhi, leo tunamwangazia mzee John Adamba, mwenye umri wa miaka 66, baba wa watoto kumi na mmoja. Kwa miaka ishirini na saba, mzee Adamba amekuwa akijitafutia riziki kupitia biashara ya mboga za kienyeji mjini Bungoma kazi ambayo imemwezesha kulisha familia yake, na kuwasomesha wanawe hadi kufikia ndoto zao. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited