
1,101 views
Ukiachwa Achika: Bruce anataka kuachana na mrembo wake ambaye wamekaa sana kama hawajaonana na kila wakati wanapoongea anamuomba pesa. Analalamika pia akimtumia fare anakula. Kwa upande mwingine Sheila, ambaye ndiye mrembo wake, anasema kuwa Bruce si supportive, akiongeza kuwa ashamsahau Bruce na akamove on. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited