
134 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu, leo hii tunamuangazia Japhet Mwang’ombe kijana ambaye anakimu mahitaji ya familia yake kupitia shughuli ya ushonaji wa viatu. Mwanahabari wetu Julius Mariki amezungumza na kijana huyo. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited