
132 views
Katika Kitengo cha Kero Lako leo hii tunaliangazia kero la wananchi kuhusiana na vita ambavyo vimekuwa vikiendeleza na Marekani na Israeli dhidi ya Iran hali ambayo imeibua taharuki kuu miongoni mwa Wakenya wanaoishi katika mataifa ya milki za kiarabu vilevile jamaa wao humu nchini. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited