
112 views
Katika Makala ya Kero Lako; Leo hii tunaliangazia kero la wakazi wa Nairobi kuhusu utoaji wa huduma mbalimbali hali ambayo imechangia kutiwa saini kwa mkataba wa ushirikiano kati ya Serikali ya Kaunti na ile ya Kitaifa ili kuzifanikisha huduma hizo. Mwanahabari wetu Silas Kemboi amezungumza na wakazi wa Nairobi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited