
106 views
Katika makala ya Tashtiti ya Wiki, kizungumkuti cha nyani kimewaswahilisha watu ya Kisumu Dala. Hawalali katu! Imebidi na wao wajifunze kuweka mitego. Kisha, wakati wengine wanasema ugali hauna faida, vijana ya ingo wanasema ladha ya unga wa ugali imebadilishwa. Huyu hapa mwanahabari wetu, Allan Wetungu, anayezama na vituko vya wiki hii. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited