
34 views
Leo katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hujia kila siku ya Jumanne saa moja asubuhi, Leo tunamwangazia Fauzia Sophina Asman, kijana ambaye amekijika katika tasnia ya uandishi wa vitabu ili kujikimu kiuchumi mbali na kwamba anapenda kuandika. Tuungane na mwanabari wetu Laban Shikokoti aambaye amefanya mahojiano na Fauzia mkazi wa mtaa wa Kona Lejo, kwenye eneo la Kondele, Jijini Kisumu, akieleza namna ambavyo uandishi wa vitabu umempanua mawazo na kumpa kipato. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited