
109 views
Katika Kitengo cha Kero Lako tunaliangazia kero la wazazi kuhusu mahangaiko ya wanao kujiunga na Gredi ya 10. Wanahabari wetu, Wanji Sostine wa Bungoma na Julius Mariki wa Taita Taveta wamekitayarisha kitengo hiki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited