
123 views
Katika Kitengo cha Kero Lako tunaliangazia kero la wananchi kuhusu kuorodheshwa kwa kaunti takriban 20 na msimamizi wa bajeti kuwa miongoni mwa ambazo hazikutenga fedha zozote katika maendeleo kwenye kipindi baina ya mwezi Julai na Septemba mwaka huu. Wanahabari wetu wa kaunti za Bungona na Kajiado wamezungumza na wakazi wa kaunti zao kuhusiana na swala hili ikizingatiwa zimeorodheshwa miongoni wa zilizokosa kutenga fedha za maendeleo. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited