
1,089 views
LIVE INTERVIEW na Mkenya aliye Russia vitani. "Jackton" alijipata katika kambi ya kijeshi ya Russia, ilhali aliahidaiwa kwenda kufanya kazi kwenye kampuni. Yuko hospitalini akiuguza jereha alilopata vitani. Edited & Uploaded by Martha Oundo Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited