
1,067 views
Facts Si Jaba Unajua Afrika pia ina winter? Hili ndilo taifa moja na pekee Afrika ambako kuna majira ya baridi kali (winter). Ndio maana ikaitwa the 'Kingdom in the Sky'. Ukihitaji kufanya ice skiing, usiende Ulaya, ingia Lesotho mwezi wa Agosti. Allan Wetungu anatufafanulia kuhusu msimu huu wa winter barani Afrika. #FactsSiJaba #AfricanWinter #Lesotho #HapaNdipo #Radio47 Edited & Uploaded by Allan Wetungu Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited