
1,215 views
Facts Si Jaba Huyu ndiye rais maskini zaidi duniani. Alimiliki vitu vichache sana, akifanya ukulima katika shamba dogo na mke wake. Alipendwa na wananchi wake kiasi kwamba hakuhitaji kutembea na walinzi. Allan Wetungu anasimulia maisha yenye upole ya rais Jose. #FactsSiJaba #HapaNdipo #Uruguay #Radio47 ©2025 Radio47 Cape Media Limited