
118 views
Katika makala ya Tashtiti ya wiki, ukiskia wanasema Kenya is the Capital of Africa, weka akilini kwamba hata kwa kizungu hatufikiwi. Kuanzia kwa askofu wa nchi mwenyewe, hata Wamunyoro alishakubali. Halafu Nakiritima na Mama Milanoi pia hawajatuangusha kwa kuporomosha Kiingereza. Mwanahabari wetu Allan Wetungu anatupambia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited