
59 views
Katika Kitengo cha Kero Lako leo hii tunaliangazia kero la ajali za barabarani huku Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama Barabarani, NTSA ikisema kufikia Disemba 2 watu 4,458 walikuwa wamefariki dunia ikiwa ni ongezeko la vifo 147 kutoka mwaka jana. Mwanahabari wetu Seth Ngero wa Busia na Julius Mariki wa Taita Taveta wamewashirikisha wananchi kwenye kitengo hiki ikizingatiwa baadhi ya ajali za hivi karibuni zimetokea kwenye kaunti hizo. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited