
138 views
Katika makala ya Tashtiti ya Wiki, Askofu William hapendi vijitabia fulani vya kusema hawezi kula chumvi. Anasema hiyo ni tabia mbaya sana. Eti yeye akimaliza kazi, atavalishwa taji aende zake. Bungeni nako maseneta wanaletana juu kwa juu. Eti hawapendi Arsenal kuvunjiwa heshima. Halafu Wamuthende naye anachokozwa sana, eti yeye ni GMO MP. Kivipi? Allan Wetungu anashuka na vimbwanga vya wiki hii. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited