
29 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, imebainika kwamba ni asilimia 10 pekee ya Wakenya ambao hufika mahakamani kutafuta huduma mbalimbali. Asilimia 90 hawaendi mahakamani wakisema mchakato wa mahakama ni mrefu. Mwanahabari wetu, Charity Papai amezungumza na wananchi kuhusiana na swala hili. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited