
116 views
Katika makala ya Tashtiti Ya Wiki, eti mwanaume kamili lazima amrarue simba ndiyo apate mke. Ndizo siasa za chaguzi ndogo juma hili. Kivumbi juu ya kivumbi, Goliathi na Daudi wakipimana misuli. Zimemfanya profesa kubadili lugha, sasa ana-speak in tongues! Askofu William naye sasa anajiita Mr. Racheal. Yaani kama wewe ni mgeni hapa Kenya, jamani pole. Ndiyo mambo yake Allan Wetungu, ambaye anatupambia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited