
41 views
Katika makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hujia kila siku ya Jumanne saa moja asubuhi Leo tunamwangazia, Janet Ngang mama anayejihusisha na uuzaji na usambazaji wa kabeji katika soko la Daraja mbili biashara aliyo ianza baada ya kushindwa kuendeleza masomo yake kwa miaka minane baada ya kukosa karo hivyo aliamua kuzamia biashara hii na sasa inamsaidia kukimu mahitaji yake ya kila siku. Mwanahabari Wetu Kombo Alfayo alitangamana naye akiendeleza Shughuli yake ya kila siku katika soko la Daraja mbili na kutuandalia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited