
58 views
Kwenye makala ya Jasho Langu ambayo hukujia kila siku ya Jumanne Saa Moja asubuhi, Leo tunaangazia kazi ya urembo wa kucha, miguu na mikono ambapo Mwanahabari wetu Seth Ngero amemtembelea mmoja wa vijana wanajihusisha na kazi hii Mpakani Busia na kutuandalia makala yafuatayo. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited