
310 views
Kwenye makala ya Tashtiti ya Wiki, mwanahabari wetu Allan Wetungu, akili zake anazijua yeye mwenyewe! Kwa sababu sisi tunapotayarisha taarifa studioni, yeye huwa anatengeneza zake. Kumbe Wetungu huwa anaturekodi wakati tunang'ang'ana kuandaa taarifa. Yeye akiwa ameshamaliza zake, anapitapita huku akikusanya zake. Halafu, kama kawaida hawaachi nje wanasiasa na mambo yao. Haya basi, Wetungu, tupambie Tashtiti. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited