
67 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, baada ya hatimaye kufanyika kwa usajili wa makurutu wa polisi siku ya Jumatatu wiki hii, wengi wanaendelea kukerwa na vigezo ambavyo vimekuwa vikitumiwa kuwafungia nje vijana katika usajili huo. Maswala ya mtu kuachwa nje katika usajili kwenye vikosi mbalimbali vya usalama wa kigezo cha kimo na maumbile mengine ni miongoni mwa yanayowaghadhabisha wananchi. Mwanahabari wetu, Amina Abdulrahman amezungumza na wananchi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited