
49 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaliangazia kero la wananchi kuhusiana na kiwango kikubwa cha fedha kutumika kuilipa mishahara ya wafanyakazi wa umma huku kiwango kidogo cha fedha kikitumika kwenye maendeleo. Kulingana na Waziri wa Fedha, John Mbadi shilingi bilioni 80 hutumika kuilipa mishahara ya wafanyakazi wa umma kila mwezi. Mwanahabari wetu, Robert Lokorwas amezungumza na wananchi kuhusiana na swala hili. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited