
95 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, Gavana wa Uasin Gishu, Jonathan Bii anapendekeza jina la kaunti hiyo libadilishwe kuwa Eldoret, eti Uasin Gishu halitambuliki sana hali inayohujumu uwekezaji. Hata hivyo pendekezo hili limeonekana kuwakera baadhi ya wakazi wa Uasin Gishu. Mwanahabari wetu, Charity Papai amezungumza nao. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited