
70 views
Tupo katika msimu wa mitihani, japo wanasema si examinations tena, ni assesments, ya Mtihani wa Gredi ya Sita KPSEA na Gredi ya Tisa KJSEA, twauliza tafsiri ya neno ASESSMENT ni ipi? Mwanahabari wetu Quinto Wafula amekitayarisha kitengo hiki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited