
1,411 views
Facts Si Jaba na Allan Wetungu Bibi harusi alianguka na kufa kwenye harusi yake. Kisha bwana harusi akamwoa dadake mwanamke huyo huku mwili wa mkewe ukiwa katika chumba cha pili. Hivi, wewe unaweza kuoa dada ya mkeo, au uolewe na shemeji yako siku kama hii? #FactsSiJaba #HapaNdipo #Radio47 Edited & Uploaded by Allan Wetungu Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited