
63 views
Katika makala ya jasho langu riziki yangu ya wiki hii tunamwangazia Benedict Aswani,jamaa aliye fuzu kutoka chuo kikuu na shahada ya education Science anayestahili kuwa mwalimu ila baada ya kutafuta kazi na kukosa aliamua kuzamia talanta yake na inamsaidia kukimu mahitaji yake ya kila siku mwanahabari wetu Kombo Alfayo alitangamana naye akiendeleana Shughuli yake ya choraji katika Shule moja mjini Kisii eneo la Jogoo na kutuandalia makala haya ..... Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited