
25 views
Katika Kamusi Mtaani, Baadhi ya wananchi wameipinga sheria mpya ya kudhibithi matumizi ya mtandao wakidai inalenga kuwanyamazisha. Je, tanakali ya sauti inayoendana na nyamaza ni ipi? Mwanahabari wetu, Quinto Wafula amekitayarisha kitengo hiki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited