
915 views
Facts Si Jaba Tamasha ya kupigana mawe nchini India 🇮🇳 . @Allan Wetungu anachambua namna vijiji viwili huadhimimisha tamasha hii ya Gotmar Mela kila mwaka. Huwa ni bonge la sherehe, lakini mwisho wa siku huwa ni makumi ya majeruhi. Serikali ya India imejaribu kubadilisha mawe na mipira ya plastiki, lakini wanajamii hawataki. #FactsSiJaba #Gotmar #TamashaLaMawe Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited