
76 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaliangazia kero la wananchi kuhusiana na matamshi ya Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga ambayo yameonekana kufurahikia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga kwa misingi kwamba alichangia kusahaulika kwa eneo la Mlima Kenya katika maendeleo huku eneo la Nyanza likinufaika pakubwa. Mwanahabari wetu, Laban Shikokoti amezungumza na wakazi wa Kisumu kuhusiana na swala hili. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited