
550 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaangazia kero na ghadhabu ya wananchi kufuatia kifo cha kigogo wa siasa za upinzani, Raila Odinga. Baadhi ya wananchi hasa wanaelezea ghadhabu yao kuhusu jinsi kulikuwa na ukosefu wa taarifa kamili kuhusu alikokuwa Raila kabla ya kifo chake vilevile jinsi mitandao ilivyotumika kuibua madai mbalimbali kabla ya hatimaye kutangazwa kwa kifo. Mwanahabari wetu wa kaunti za Kisumu, Laban Shikokoti na Kombo Alphayo wa Kisii wamezungumza na wananchi kwenye kitengo hiki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited