
49 views
Katika makala yetu ya Jasho langu Riziki yangu ambayo hukujia kila siku ya Jumanne, tunamwangazia mzee Mumba Mwambako ambaye aliingia mjini Busia takriban miaka thelathini na minane iliyopita akifanya kazi ya kuchonga vinyago na kisha kuviuza. Na baada ya kuachana na kazi hiyo kwa sasa anahusika na ununuaji wa mikia ya ng'ombe, kuitengeneza na kisha kuiuza. Mwanahabari wetu Seth Ngero alitangamana naye mjini Busia na kutuandalia makala yafuatayo. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited