
85 views
Kwenye makala ya Tashtiti Ya Wiki, vitimbi vya vitindamimba na vitanda vimesheheni juma zima. Waliokoroga ndimi kutojua waseme Uhuruto au Baba, na wanaona wameneemeka kwa kukaribiana na madanguro. Huko Kilgoris, jamaa anatukumbusha 'the toughness of Maasai drugs', lakini eti haziwezi kuporomosha magonjwa mengine. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited