
57 views
Kwenye Makala ya Jasho Langu, leo tunaangazia kazi ya kunyoa nywele, zinazofanywa na vinyozi, mwanahabari wetu Silas Kemboi amezungumza na kinyozi mmoja kwa jina Steve Mugambi katika eneo la Kangemi hapa Jijini Nairobi na kutuandalia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited