
49 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaangazia kero la wakulima wa majani chai katika eneo la Gusii,Magharibi ya kenya na eneo la Kericho baada ya malipo ya bonasi kuja kwa kiwango cha chini huku wengine wakipokea shilingi 11,10,12, hadi 22 nusu au robo ya kile walichopokea mwaka uliopita. Mwanahabari wetu, Kombo Alphayo analiangazia kero la wakulima hawa. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited