
39 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki yangu ambayo hujia kila siku ya Jumanne saa Moja asubuhi leo tunamuangazia kijana kwa jina Gift Mshai mkazi wa eneo la Voi katika Kaunti ya Taita Taveta ambaye ameamua kujitosa katika shughuli ya kurekebisha magurudumu ya magari na pikipiki ili kujitafutia kipato badala ya sekta ya bodaboda ambapo amekuwa pia ikikumbwa na changamoto. Mwanahabari wetu wa Taita Taveta Julius Mariki ametangamana naye na kutuandalia Makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited