
47 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaangazia kero la wazazi kuhusu visa vya wanafunzi kuyateketeza majengo ya shule. Mwanahabari wetu, Erick Kiplimo amezungumza na baadhi ya wazazi kwenye Kaunti ya Kericho ikizingatiwa visa zaidi ya vitatu vimeripotiwa kwenye shule za eneo hilo, kisa cha hivi punde zaidi kikiwa usiku wa kuamkia leo katika Shule ya Wavulana ya Tulwet. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited