
33 views
Leo kwenye makala ya Jasho Langu tunamwangazia Benoni Sishwa, mchuuzi wa maji hapa jijini Nairobi. Mwanahabari wetu Silas Kemboi alimnyaka akiwa katika shughuli zake za kuwasambazia maji wakazi wa AA na Imara Daima kule Embakassi ambao wamekuwa na tatizo la maji kwa takriban mwezi mmoja, na ametuandalia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited