
47 views
Katika Kamusi Mtaani, juma hili limekuwa la mgomo wa wahadhiri. Si mara ya kwanza kwa migomo ya wahadhiri kufanyika humu nchini. Tunaangazia methali inayoendana na hali hii ya migomo nchini. Mwanahabari wetu,Quinto Wafula amekitayarisha kitengo hiki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited