
53 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaliangazia kero la wakazi wa Bonde la Kerio kuhusiana na umiliki wa silaha haramu ambao umechangia oparesheni za mara kwa mara za kuzitwaa silaha hizo. Mwanahabari wetu, Robert Lokorwas amezungumza na wananchi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited