
41 views
Katika makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hujia kila Jumanne saa moja asubuhi, leo tunamwangazia Brenda Kingi, kijana aliyejikita katika sanaa ya Urembo, maarufu 'Makeup Artist'. Ingawa Kingi anasomea uanahabari, anatumia ujuzi wake wa kupamba mwonekano wa watu kujipatia kipato. Mwanahabari wetu Allan Wetungu alizungumza naye na kutuandalia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited