
104 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaliangazia Kero la Wahudumu wa bodaboda wanaosema kwamba shutma dhidi yao zimezidi huku wakishinikiza nao kuheshimiwa wanapokuwa barabarani. Mwanahabari wetu, Julius Mariki amezungumza nao. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited